Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Pakistan, alipata bahati ya kuzuru haramu ya Bibi Masuma (a.s), iliyopo katika jiji la Qum nchini Iran.
“Rana Tanveer Hussain,” Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Pakistan, ambaye alisafiri kuelekea Qom huku akiwa ameandamana na ujumbe maalumu, alipata bahati hiyo ya kuzuru haramu tukufu ya Bibi Fatima Masuma (a.s), na sambamba na kutoa heshima, alitumia muda fulani katika dua na munajaat.
Baadhi ya picha zinazo onesha ushuriki wake katika Haram hiyo tukufu
Baadhi ya picha zinazo onesha ushuriki wake katika Haram hiyo tukufu
Maoni yako